Play Video Nyingine hapa Chini Upate ufafanuzi wa jinsi Mh. Kalisti Alivyoorodhesha mafanikio na maendeleo yaliypatikana jijini Arusha
Meya wa jiji la Arusha Calist Lazaro akizungumza na wananchi juu ya miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa na halmashauri tokea walipoingia madarakani 2015.
Amesema wamefanikiwa kutoa mikopo kwa vikundi zaidi 96 vya kina mama na vijana pamoja na kuweka mtandao wa lami kwenye eneo kubwa la jiji.