chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kesho kinazindua operesheni maalum vua gamba vaa gamba kwenye vianja vya NMC kiuanzia saa nane mchana ambapo Mwenyekitanatazamia kuwa wa Taifa wa cham,a hicho, Freeman Mbowe anatazamiwa kuwa mgeni Rasmi Pia kwenye mkutano huo aliyekuwa mwenyekit wa jumuiya yua vijana wa chama cha mapinduzi (UV CCM), James Millya na wanaccm wengine walijitangaza kujivua magamba wanatazamiwa kupewa kadi za chadema.

0 Comments:

Post a Comment