Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ( SMZ), Ali Juma Shamuhuna akifuatilia
mkutano mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaoendelea kwenye
kituo cha mikutano cha kimataifa cha jijini Arusha (AICC)
Designed by Arusha Publicity | Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments:
Post a Comment