MHUDUMU wa baa ya Arusha Night Park, Loice John, (29) mkazi wa Sanawari akipelekwa katika chumba cha
upasuaji kwenye hospitali ya mkoa ya Mount Meru anakopatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa miguuni na mikononi kwa vipande vya bomu lililorushwa kwenye baa hiyo usiku wa Aprili 13, mwaka huu

0 Comments:
Post a Comment