Breaking News: Kutoka Central Police Arusha imeahirishwa agizo la Meya,Katibu TAMONGSCO, na viongozi wengine waliokamatwa wiki iliyopita ambao agizo hilo liliwataka kuripoti kituo cha polisi , wameahirishiwa Agizo hilo hadi ijumaa , Tunakuletea updates zaidi endelea kukaa nasi
Monday, May 22, 2017
No Comment

0 Comments:
Post a Comment