PICHA : Zipo Hapa Picha 21 kutoka katika mazishi ya familia ya watu watano (5} waliofariki hivi karibuni kwa nyumba yao kuangukiwa na Mti huko Ng'iresi Arumeru mkoani Arusha , kufuatia mvua zilizokuwa zikinyesha mfululizo, Mstahiki meya wa jiji la Arusha Mh. Kalisti Lazaro alihudhuria pamoja na viongozi mbalimbali wa dini, Majonzi yalitawala.
Saturday, May 13, 2017
No Comment





















0 Comments:
Post a Comment