Siku chache zilizo pita HABARI TANZANIA GRACE MACHA Tulikutaarifu kuhusu mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani ambaye anaishi Tanzania huko Songwe sasa habari hii imezaa matunda mtu wangu ni kwamba Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Galawa amemkabidhi mzee huyo Wheel Chair pamoja na Bima za Afya yeye na mke wake.
UPDATES: Hili ni jambo la muhimu unalopaswa kulifahamu kuhusu binadamu mwenye umri mkubwa zaidi anayeishi Tanzania
Monday, May 15, 2017
No Comment
Siku chache zilizo pita HABARI TANZANIA GRACE MACHA Tulikutaarifu kuhusu mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani ambaye anaishi Tanzania huko Songwe sasa habari hii imezaa matunda mtu wangu ni kwamba Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Galawa amemkabidhi mzee huyo Wheel Chair pamoja na Bima za Afya yeye na mke wake.

0 Comments:
Post a Comment