Iran, Syria, Somalia, Sudan na Yemen pamoja na wakimbizi wote. Watakao ruhusiwa ni pamoja na wale kwenye uhusiano Wa Kifamilia , VISA, na mahisiano ya kibiashara. Ikumbukwe sheria hii ilikuwa moja ya Sera ya Rais Trump alipokuwa akigombea Urais wakati wa kampeni za uchaguzi Mkuu.
0 Comments:
Post a Comment