BREAKING: Dereva wa Mbunge John Heche avamiwa na watu wasiojulikana, Akatwa mapanga kichwani

Jana majira ya Saa mbili (8)usiku  Dereva wa Mbunge Mh John Heche anayejulikana kwa Jina la Suez Daniel Maradufu amevamiwa na watu wasiojulikana na Kumkata kwa Ma panga Kichwani na Hali yake sio Nzuri anaendelea na Matibabu kwenye Hospital ya Bomani Tarime,tu endelea kumuombea apone Haraka.

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Tarime (V)
15/9/2017.

0 Comments:

Post a Comment