BREAKING NEWS: Kituo cha Mafuta cha Bakhresa chawaka moto ..

Kituo cha mafuta cha kampuni ya Bakhresa kilichopo Kinazini mjini Unguja kimewaka moto asubuhi hii . UPDATES zaidi zitakujia hivi punde baada ya kuhakiki taarifa hizi zakusikitisha..

0 Comments:

Post a Comment