BREAKING: Nyumba ya Zitto Kabwe yaungua Moto..

 Taarifa tulizozipokea muda huu ni kuwa nyumba ya Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe ya Mwandiga, Kigoma imeungua moto leo jioni

Kamati ya ACT Amani inafuatilia jambo hili. Taarifa zaidi zitawajia punde.

Mohammed Babu
Mwenyekiti - Kamati ya ACT Amani (Ulinzi na Usalama)


0 Comments:

Post a Comment