HABARI KUU: Kagera watumia Mitumbwi kama kivuko n kuahatarisha Maisha..

Wakazi wa kijiji cha Kasharu kilichopo katika Mkoa wa Kagera wamekuwa wakiishi kwa shida kwa kukosa kivuko katika mto ambapo hulazimika kutumia mitumbwi ambao mara nyingi huhatarisha maisha yao.
content: Millardayo.com & Ayo TV.

0 Comments:

Post a Comment