Kwa Mara ya kwanza Diamond Aimba 'Hallelujah' Kwenye Pre-Birthday yake Luc Belaire

 Usiku Wa September 29 Diamond Platnumz Alifanya Birthday party ya awali akikaribishwa Luc Belaire Hafla iliyotikisa Club Element nakuhudhuriwa na mastaa kadhaa wa bongo akiwemo Fid Q , Idris Sultan..

Miongoni wa aliyoyafanya Diamond usiku huo nikuwaburudisha Mashabiki kwa kuwaimbia nyimbo yake mpya ya Hallelujah. 


Nimekuwekea video hii hapa chini kutoka Dizzim Online itazame ina kila kitu..

0 Comments:

Post a Comment