MAPUNGUFU YA KISHERIA KWENYE HATI YA MASHITAKA YAKWAMISHA KESI MMILIKI LUCKY VICENT

 Mahakama yaamuru upande wa jamhuri kwenye kesi inatomkabili mmiliki wa shule ya Lucky Vicent, Innocent Moshi kufanyia marekebisho hati ya mashitaka au waiondoe.

 Kaimu Hakimu Mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi Arusha. Kamugisha alitoa uamuzi huu baada ya kukubaliana na hoja mbili za pingamizi zilizowasilishwa na wakili wa utetezi, Method Kimomogoro.

Alisema baada ya kupitia hoja za kisheria za mawakili wa pande zote amejiridhisha kuwa shitaka la kwanza na la tatu kwenye hati hiyo ya mashitaka yana mapungufu kisheria




0 Comments:

Post a Comment