*Taarifa ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Kata ya Ngabobo Leo tar 28/10/2017*
*Mhe Mbunge Joshua Nasari amezindua kampeni rasmi Kata ya Ngabobo Leo kwa kumnadi Mgombea udiwani kwa tiketi ya chadam Ndug Emanuel Salewa*
Mhe Mbunge alifuatana na *Mhe Mwenyekiti wa chadema Wilaya Gadiel Mwanda*
*Mwenyekiti wa Vijana chadema jimbo Mathew Kishili*
*Katibu wa Vijana jimbo Julius Ayo*
*Mjumbe wa mkutano Mkuu Bavicha jimbo Kata ya ngarenanyuki Daniel Mungure*
*Baada ya kampeni Vijana walifanya zoezi la kumkabidhi Mgombea wa chadema NG,OMBE DUME KAMA ZAWADI YA KUKUBALI AWAONGOZE*
*MGOMBEA ALISHUKURU NA KUWAAHIDI KUWATUMIKIA MPAKA MWISHO BILA KUWASALITI*
*KWA NIABA YA KAMATI TENDAJI WILAYA*
*JULY AYO*

0 Comments:
Post a Comment