HATA KAMA HUJUI KUSOMA UKIKAMATA MADAWA YA KULEVYA INATOSHA- JPM

Related image
 "Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliposemea madawa ya kulevya kidogo, watu eti eeeh hajasoma.Mimi kwangu hata kama hujasoma hata hujui 'a' ilimradi unashika madawa ya kulevya kwangu ni huyo ni msomi tosha,"
 Waziri Mkuu, hebu waambie wakuu wa mikoa wajifunze hata kwa Makonda.
"Wakuu wa mikoa wengine hebu jifunzeni kwa Makonda, ambaye amekusanya 184bn/= kutoka vyanzo mbalimbali kwa ajili ya maendeleo kutoka vyanzo mbalimbali na raia wema, ili kusaidia maendeleo mkoani Dsm,"JPM 

0 Comments:

Post a Comment