Kufuatia Hali ya siasa nchini Katibu mkuu CHADEMA atinga Uingereza

*"NIPE HABARI ZA TANZANIA..."*

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji (kulia) akiwa kwenye mazungumzo mafupi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Boris Johnson (kushoto), kuhusu hali ya siasa nchini Tanzania, walipokutana kwenye Mkutano Mkuu wa Chama tawala nchini humo cha Conservative, uliofanyika (jana) Oktoba 1, mwaka huu, jijini London.

0 Comments:

Post a Comment