WAZIRI Mkuu WA zamani na mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema, Edward LOWASSA ameelezea hatua ya aliyekuwa mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu kujivua nyadhifa zote ndani ya CCM pamoja na ubunge.
Aidha amesema kitendo cha mbunge huyo kuomba kuingia Chadema kuwa ni Sawa na chama hivyo kikuu kuwa kimelamba dume.

0 Comments:
Post a Comment