Wabunge wa Chadema, Godbless Lema (Arusha Mjini) na Joshua Nassari, (Arumeru Mashariki) wanatarajiwa kuwasili makao makuu ya taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini, (TAKUKURU), kukabidhi ushahidi wao wa video ya tuhuma za rushwa dhidi DC wa Arumeru, Alexander Mnyeti anayedaiwa kutoa rushwa kwa madiwani sita wa chadema wakajiuzulu.

0 Comments:
Post a Comment