Ni zamu ya chama cha ACT-Wazalendo kuzindua kampeni zake jijini Arusha katika uchaguzi wa marudio kwenye kata ya Muriet. Kata ambayo Diwani aliyehidumu kwa karibu miaka miwili kwa tiketi ya Chadema alijiuzulu kwa madai ya kumuunga mkono rais wa Tanzania Dkt. Magufuli.
ACT-Wazalendo wametikisa kwakutoa Sera zinazodaiwa kuwa thabiti kwa ajili ya wakazi wa kata hiyo .

ACT-Wazalendo ni chama kubwa cha upinzani kilichoshika nafasi ya tatu katika matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015.
Leo katika viwanja vya Soko la Morombo kumefanyika uzinduzi wa kampeni Rasmi za uchaguzi huo wa Marudio ambapo mgombea wa ACT-Wazalendo Bw. Johnson Mahuma alinadi Sera zake kuelekea Uchaguzi huo unafanyika 26 Novemba mwaka huu.
Mh. Johnson Anayeonekana kuwa na ushawishi Mkubwa ndani na nje ya chama hicho hususani kwa wana Muriet amelekeza nguvu zake zaidi kwenye suala linaloonekana sugu Katani Muriet la kero ya uhaba wa maji safi na salama. Tazama video hapa chini
Uzinduzi wa Kampeni hizo ulihudhuriwa na Mamia ya wakazi wa Muriet huku kutokana na ushawishi Mkubwa alionao Bw. Mahuma wananchi wakalazimika kuuliza maswali ili kumpima na kujua uwezo alionao Mgombea hiyo.
Naye Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Arusha aliyefahamika kwa jina maatufu la Mama Choza pamoja na kumnadi mgombea udiwani Muriet Johnson Mahuma pia aliwataka wananchi kuwa makini na kura zao pindi unapofanya upigaji kura.
ACT-Wazalendo wametikisa kwakutoa Sera zinazodaiwa kuwa thabiti kwa ajili ya wakazi wa kata hiyo .

ACT-Wazalendo ni chama kubwa cha upinzani kilichoshika nafasi ya tatu katika matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015.
Leo katika viwanja vya Soko la Morombo kumefanyika uzinduzi wa kampeni Rasmi za uchaguzi huo wa Marudio ambapo mgombea wa ACT-Wazalendo Bw. Johnson Mahuma alinadi Sera zake kuelekea Uchaguzi huo unafanyika 26 Novemba mwaka huu.
Uzinduzi wa Kampeni hizo ulihudhuriwa na Mamia ya wakazi wa Muriet huku kutokana na ushawishi Mkubwa alionao Bw. Mahuma wananchi wakalazimika kuuliza maswali ili kumpima na kujua uwezo alionao Mgombea hiyo.
![]() |
| Uongozi wa Chama hicho ulipowasili Viwanja vya Soko la Morombo Leo. |
Katika hatua nyingine Katibu wa cham jicho Mkoa Arusha Amos Kibanda aliuambia umati huo kuwa chama cha mapinduzi CCM kinachoshiriki uchaguzi huo kijibu maswali aliyohoji kuwa "Ni nani aliyeua Kili tex , Ni nani Aliyeua General Tire..." AlihojiKibanda.. Tazama video hapa chini..

0 Comments:
Post a Comment