GOLUGWA: Mimi Sielewi CCM watashindia wapi..

Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha Mh Amani Golugwa ameishangaa Chama cha mapinduzi CCM kwamba hakina uwezo wa kushinda katika uchaguzi wa marudio.

Mh. Golugwa amewauliza maelfu ya wananchi wa mata ya Mororoni katika jimbo la uchaguzi la Arumeru Mashariki.

0 Comments:

Post a Comment