Katibu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Wilaya ya Arusha Mh. Innocent Kisanyage Leo afikishwa tena katika mahakama ya mwanzo ya Maromboso jijini Arusha.
Bw. Innocent na wafuasi wengine wa chama hicho wamefika Mahakamani hapo wakati ambapo walikamatwa wiki November 04 mwaka huu kwa shtaka la kumpiga Mgombea Udiwani wa Chama cha mapinduzi kata ya Muriet jijini Arusha.
Taarifa iliyotufikia hivi punde zimethibitisha kuwa Kiongozi Huyo amefika mahakamani hapo huku kukiwa na madai ya kuongezewa Mashtaka kutoka mawili ya awali hadi matatu hivi sasa.
Taarifa hiyo imesema hivi sasa Katibu huyo yupo Cero akisubiri kusomewa mashtaka akiwa na wafuasi wengine 11 wa chama hicho.
VOA TV News, na Habaritanzaniagracemacha.com zinafanya jitihada za kupata Habari hii kwa undani hivyo kaa nasi.

0 Comments:
Post a Comment