HUKUMU: Meek Mill Azidi kugusa Hisia za Mastaa , Walichoandika Mastaa wakubwa akiwemo Diamond Platnumz kupinga hukumu hiyo..

Robert Rihmeek Williams maarufu kama Meek Mill anajulikana kuwa moja ya rapper watata sana kwa ambao ukimgusa tu jua umeliamsha dude.
Ila kitu kilichohuwenda watu wachache hawafahamu ni kuhusiana na kesi aliyohukumiwa msanii huyo kwenda jela miaka 2-4, Hukumu ya msanii huyo imewashitua watu wengi na kupelekea kuingia habari za ubaguzi kutoka kwa jaji aliyehukumu.
Tujikumbushe:
Mwaka 2009 msanii huyo alikutwa na kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria na ushahidi wa kukutwa na madawa ya kulevya. Kufuatia kosa hili Mill alihukumiwa kifungo cha ndani cha miaka 10 ambapo alitakiwa asifanye kosa lolote.
Kama haitoshi pia masanii huyo alitakiwa aifanye fujo kama kuendesha yale ma pikipiki yake na kuto toka nje ya mji anaoishi, ila msanii huyo alivyunja mashari hayo huwenda bila kukusudia ama kwa kukusudia. Ambapo alionekana akiendesha piki piki hizo kwa fujo mjini New York na pia alienda kisiwa cha Caribbean kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kitu amabacho alikatazwa.
Hivi karibuni inaelezwa kuwa msanii huyo alipigana hadharani katika uwanja wa ndege kiyu ambacho hakutakiwa kufanya fujo hadaharani.
Hivi sasa:
Hukumu iliyotolewa kwa msanii hJaji wa mahakama ya mjini Philadelphia ni Mzungu na Meek Mill ni mtu mweusi hiyyo amaefanya maamuz i kibaguzi zaidi na sio kwa kutenda haki.
Pia inadaiwa kuwa Jaji huyo amefanya hivyo kama kumkosesha rapper huyo wa Mayback Music Group(MMG) baada ya kugoma kuvunja mkataba wake na Roc Nation ya Jazy Z.
Mastaa:
Mastaa kadhaa wamejitokeza kupinga hukumu hiyo na kuja na #tag ya kuonyesha hawajafurahia wale kupendezwa na tukio hilo.



0 Comments:

Post a Comment