Mbunge wa Simanjiro Mkoani Manyara (Chadema) James Milya afunguka kuhusu Kununuliwa kwake na kusema ameshawishiwa kununuliwa kwa fedha ili akihame chama hicho.
Milya Mbunge Mahiri na mwenye Siasa Kali kama walivyo wabunge wa Kaskazini akiwemo Godbless Lema wa Arusha Mjini , Joseph Selasini wa Rombo na Joshua Nasari Arumeru Mashariki..
Ameuambia umati wa Wananchi wa kata ya Makiba Arumeru Mashariki ambako kunarudiwa uchaguzi Mdogo 26/November 2017 kuwa Amekataa Kuwa billionaire kwa sababu ya Shauku yake ya kuleta mabadiliko ya kweli Simanjiro.UPDATES
Milya anasema "Nimesema ni bora niendelee kuwa Maskini lakini Maisha ya watu wangu yabadilike...."
Katika hatua nyingine Mbunge Milya alimnadai Mgombea Udiwani kata ya Makiba mwanadada Joyce Martin Lutha na kuwataka sana Makiba mumchagua Mwanamama huyo kwani kaonesha Uwezo wa kuwahudumia Wana Makiba
James Milya kaongea mambo mengi hapa chini kuna Full Video inayoonesha Hotuba ya James Milya Mbunge wa Simanjiro..

![]() |
| Kulia Mbunge wa Simanjiro James Milya akimnadi Mgombea Udiwani kata ya Makiba Joyce Martin Lutha. |
James Milya kaongea mambo mengi hapa chini kuna Full Video inayoonesha Hotuba ya James Milya Mbunge wa Simanjiro..

0 Comments:
Post a Comment