Mgombea wa Nafasi ya Udiwani Kata ya Muriet katika uchaguzi Mdogo wa Marudio Muriet Johnson Mahuma kwa tiketi ya ACT-Wazalendo amesema atashirikiana na Viongozi walioko kutatua Kero za wananchi wa Muriet hasa suala la maji ambalo ni sugu kwenye kata hiyo.
Mh. Mahuma amesema hayo Akiomba kura kwa wana Muriet wampe ridhaa ya kuwa Diwani wao ifikapo November 26 mwaka huu.
Tazama hii video hapa Chini


0 Comments:
Post a Comment