MUNGURE awatoa hofu Wananchi Kuhusu Uwizi wa kura na kuwa kumbusha Sheria za Uchaguzi..

Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha Mh. Elias Mungure kwenye mkutano wa Kampeni za Chama hicho katika kata ya Makiba Arumeru Mashariki. Mungure alitumia dakika kadhaa kuwaeleza wapiga kura juu ya sakata linalodaiwa la kuibiwa kura na kuwa toa hofu Wananchi wapeige kura Habari ya kuibiwa wawachie wao....tazama hii video hapa chini ipo na kila kitu cha kufahamu


0 Comments:

Post a Comment