USHINDI wa CCM Kwenye kata 42 Nchini nini Taswira ya Upinzani?

Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC CCM imeshinda Uchaguzi kwa kishindo. Swali la Siku hii ina Taswira gani kwa Upinzani?

"KATA *42*CCM ILIZOSHINDA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI .
Chadema Kata 1

Naomba tuorodheshe hapa..

1. Bomambuzi
2. Mnadani
3. Machame Magharibi
4. Weruweru
5. Kijichi
6. Mbweni
7. Saranga
8. Muungano
9. Mhongozi
10. Majengo
11. Milongodi
12. Chipogoro
13. Muriet
14. Reli
15. Makiba
16. Moita
17. Musa
18. Maroroni
19. Mnacho
20. Kitwiru
21. Ambureni
22. Maloloni
23. Legeruki
24. Ngabobo
25. Nata
26. Siuyu
27. Bonyokwa
28. Mhandu
29. Kimala
30. Senga
31. Kalulu
32. Kijima
33. Bukwimba
34. Lukumbile
35. Chanikanguo
36. Lunguza
37. Mamba
38. Nangwa
39. Kiloka 
40. Ndalambo 
41.Chikonji
42.Sumbawanga asilia 
43. Ibhigi (Chadema)"

0 Comments:

Post a Comment