VIDEO: CHADEMA Wazidi kuweka Historia Tazama Lema na Meya walivyoliamsha Kwenye Kampeni za Marudio Muriet, Mamia wafurika

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. Godbless Lema aliungana na Mstahiki Meya wa Jiji La Arusha Mh. Kalisti Lazaro kwenye kampeni ya uchaguzi Mdogo wa Marudio Muriet Jijini Arusha. Tazama hii video hapa chini




0 Comments:

Post a Comment