VIDEO: MUNGURE Asema Chadema haitumii bunduki Kupigana wala Polisi Kushinda.. Play Hapa

Katibu wa Chama cha demokrasia na maendeleo Mkoa wa Arusha Mh. Elias Mungure amesema hayo kwenye mkutano wa Kampeni kata ya Ngabobo ambayo inarudiwa uchaguzi kwenye Jumbo analoongoza Joshua Nasari Arumeru Mashariki.
Katika Hotuba yake Mungure Pia alieleza na kusoma Barua ya tume ya Taifa ya uchaguzi NEC kwa Mgombea Udiwani kata ya Ngabobo Ndg. Emanuel Fanuel Salewa barua iliyodhamiria kuruhusiwa kuendelea kugombea Mara baada ya nyadifa yake kupingwa hapo awali.
Zaidi unaweza kuplay hii video hapa chini.

0 Comments:

Post a Comment