BREAKING NEWS: Watu wasiojulukana wavamia nyumbani kwa Mbunge Joshua Nasari nakufyatua Risasi Hovyo

Taarifa iliyotufikia Majira ya Usiku imedai watu hao wamefyatua risasi huku na kule huku kukiwa na taarifa ya kuuawa Mbwa waliyokuwa wakiwabwekea

Mbunge Joshua Nasari wa Arumeru Mashariki anekuwa akiweka bayana Mara kadhaa kuhusu shutuma za kudaiwa kuwa kwenye list ya wabunge wa upinzani wanaofuatiliwa kutaka kuuawa.

VOA TV News & Habari Tanzania zimemtafuta Mbunge huyo iwapo kama amesharipoti tukio hilo na kuhusu usalama wake. Japo simu take haiku patikana Ila taarifa ya za uhakika zimeeleza Mbunge Hugo yupo Salama licha ya kuuawa kwa Mbwa kadhaa hapo nyumbani kwake.

0 Comments:

Post a Comment