VIDEO: Naibu Waziri TAMISEMI kaisifia Halmashauri ya Jiji la Arusha "Nimeridhika na Viwango vya Utekelezaji kwa macho.."

Katika Picha hii anaonekana Mkuu wa Wilaya ya Arusha DC Gabriel Daqqaro pamoja na Naibu Waziri TAMISEMI George Joseph Kagunda.

Naibu Waziri TAMISEMI George Joseph Kagunda kazungumza Mambo Mengi play Hii video Hapa chini.

0 Comments:

Post a Comment