Akizungumza na Waandishi wa Habari hivi karibuni katika Mahojiano Maalum Amesema Sera ya Elimu bure imekuwa na mafanikio katika Wilaya hiyo kwani imekuwa hamasa kubwa kwa jamii za kifugaji katika Wilaya ya Karatu.
Bw. Moris amewaambia Waandishi wa Habari kuwa pamoja na Sera ya Elimu bure kuwa msaada Mkubwa katika Wilaya hiyo kumekuwa na changamoto kadhaa inayoikabili sekta ya Elimu ikiwa ni pamoja na baadhi ya wanafunzi wa jamii ya kifugaji kuwa na tabia ya kutoroka masomo Mara kwa Mara kitendo kinachodhoofisha Maendeleo ya Elimu katika Wilaya hiyo.
Licha ya Miundombinu ya majengo kuwa changamoto katika baadhi ya Halmashauri mbalimbali nchini kwa mujibu wa Mkurugenzi Moris Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Haina tatizo la uhaba wa Miundombinu ya Madarasa.
Aidha Mkurugenzi Moris ameleza kuwa Karatu ina makabila ambayo haipatikani maeneo mengine ya Mkoa wa Arusha ikiwemo jamii ya Wahazabe jamii na Jamii za kifugaji jamii ambayo ina mifumo ya kuhama hama hivyo kupelekea watoto wao kushindwa kuhudhuria masomo.
Kufuatia adha hiyo Halmashauri imekuwa ikilazimika kufanya misako ya Mara kwa Mara ili kuwarudisha wanafunzi wanotoroka shule ili kuendelea na masomo hivyo kukwamisha shule hizo kufanya vizuri.
Mkurugenzi Moris amesema Halmashauri yake imedhamiria kujenga Bweni katika baadhi ya maeneo ambayo imezungukwa na Jamii nyingi za kifugaji na jamii ya wahazabe jamii inayoishi kwa Uwindaji na kula matunda.
Katika Hatua nyingine Moris ameongeza kuwa Ujenzi wa Bweni hizo ukikamilika itasaidia kuhakikisha kuwa wanafunzi hao kutoroka masomo yao hivyo itachangia kuongeza ufaulu katika shule zao.
Katika matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2017 Halmashauri ya Karatu imeshika nafasi ya 6 kati ya Halmashauri saba za Mkoa wa Arusha.

0 Comments:
Post a Comment