TANZANIA TUSIVURUGE UCHAGUZI SPIKA EALA-GOLUGWA

Katibu wa kanda ya Kaskazini wa chama cha Demokrasia na Maendeleo,(CHADEMA) Amani Golugwa akizingumza baada ya kukwama kufanyika kwa uchaguzi wa spika wa bunge la nne la Afrika Mashariki,(EALA) kutokana na wabunge wa Tanzania na Burundi kutoka nje ya ukumbi hivyo akidi kushindwa kutimia hali iliyolazimu bunge kuahirishwa mara tatu kabla halijahirishwa mpaka kesho asubuhi saa mbili asubuhi 

0 Comments:

Post a Comment