VIDEO FUPI: Dada Huyu abubujikwa machozi akihitaji msaada wa Diamond Platnumz, Millard Ayo na Ruge Mutahaba..'

Mwanamuziki anayefahamika kwa jina maarufu Kwenye mtandao wa YouTube la 'Sister Fey' Amemuomba Ruge Mutahaba na Clouds Media kwa ujumla kumsaidia kupromote Kazi zake, halikadhalika Diamond Platnumz pamoja na Label yake ya WCB Wasafi na Mtangazaji Nguli Millard Ayo. Play hii Video hapa Chini.

0 Comments:

Post a Comment