RaisJohn Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Baada ya mazungumzo hayo Lowassa amempongeza Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu.
“Nimepata faraja sana kuja hapa Ikulu kuonana na Mhe. Rais, tumezungumza nae na nimempongeza kwa kazi nzuri anayoifanya, lazima tukiri anafanya kazi nzuri na anahitaji kutiwa moyo.”
0 Comments:
Post a Comment