SELASINI AKIWAFARIJI WAZAZI WA AQUILINA ROMBO

MBUNGE wa Rombo, Joseph Selasini akimpa pole baba wa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji ,Aquilina Aquilini aliyepigwa risasi ijumaa wakati polisi walipokuwa wakiwatawanya wafuasi wa Chadema waliokuwa wakielekea kw msimamizi wa Tume ya Uchaguzi kushinikiza mawakala wa chadema wapewe barua zao za  Viapo.

Selasini amefika nyumbani hapo Olele, Rombo leo akiwa amefuatana na mbunge wa Viti maalum,Grace Kiwelu


Diwani wa viti maalum chadema, Beatrice Gerald akiwapa mkono wa pole baba na Mama wa mwanafunzi Aquilina 

0 Comments:

Post a Comment