Waziri Mkuu wa Zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Edward Ngoyai Lowassa akishiriki shughuli za kumsimika Mgombea Ubunge wa chama hicho, Jimbo la Siha, Elvis Christopher Mosi kuwa kiongozi wa kimila wa kabila la kimasai
Shughuli hiyo imefanyika leo kwenye kata ya Donyomurwak Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
Malaigwanan na wazee wa wakubwa wa kimasai walimbariki na kumuombea Elvis pamoja na kumkabidhi rungu la utawala ya kuongoza wafugaji wa jamii ya kimasai na wasiha kwa ujumla.
Lowassa ni mgeni rasmi katika ufungaji wa kampeni za mgombea ubunge wa Chadema jimboni huko ambapo uchaguzi unatarajiwa kufanyika kesho ambapo anatarajiwa kuchuana na mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) DK Godwin Mollel.

0 Comments:
Post a Comment