CHADEMA WAMLILIA KABOUR

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha  Dr Amani Walidai Kabour.



Kabour   amefariki dunia  leo asubuhi kwenye  hospital ya Muhimbili alikokuwa alipatiwa matibabu.

Marehemu wakati wa uhai wake aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo ubunge wa jimbo la Kugoma mjini Kwa tiketi ya CHADEMA , mbunge  wa  bunge la  Africa  Mashariki na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, ( CCM), mkoa  wa  Kigoma.




0 Comments:

Post a Comment