HIZI HAPA SABABU MACHINJIO TEGETA KUFUNGWA

KATIKA Machinjio ya Tegeta lilikamatwa lori lililopakia ng’ombe waliokufa wakiwa tayari kuingizwa sokoni 


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, ACP Jumanne Muliro amethibitisha tukio hilo lililotokea Jana asubuhi ambapo kufa  kwa mifugo ni tukio la kawaida kwani Mifugo inatoka mbali na ikitokea hivyo kuna utaratibu unaotakiwa kufanyika na si kuwaingiza sokoni.

“Malori yanasafiri na mifugo umbali mrefu na mifugo mingine hufariki kutokana na hali hiyo na tayari maafisa mifugo walifika katika eneo la tukio na kuhakikisha wanashughulikia tatizo hilo mapema”. Amesema Kamanda Murilo

Kamanda Muliro ameongeza kuwa Sheria na kanuni zinaeleza endapo likitokea tukio kama hilo nini kifanyike ili kulinda Afya za walaji

0 Comments:

Post a Comment