LIVE PICHA NA MATUKIO KUMBUKUMBU VIFO VYA WATOTO 32 LUCK VICENT

Picha ya watoto 32 , walimu wawili na dereva wa basi waliofariki kwenye ajali iliyotokea  maeneo ya Rotia kwenye faraja la Marera Mei 6, mwaka jana.

Wanafunzi watatu walionusurika kwenye ajali hiyo kutokana kushoto Sadia Awadhi, Wilson Tarimo na Doreen Mshana

Wazazi wa watoto waliofariki

Mwakilishi wa Askofu Mkuu wa kanisa katoliki Katoliki, Askofu Mkuu, Isaac Amani Massawe, padri Festus Mangwangwi akitoa neno.



0 Comments:

Post a Comment