Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa na kijana aliyempatia zawadi ya picha yake aliyoichora . Kijana huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikama mara moja alikabidhi picha hiyo leo maeneo ya Nzega ndogo wakati yeye na wananchi wengine walipozuia msafara wa Lissu

0 Comments:
Post a Comment