MAKAMU wa Rais, wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, leo Agosti 1, 2022 amefungua rasmi maonesho ya Nanenane 2022 ambayo kitaifa yanayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya.

Designed by Arusha Publicity | Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments:
Post a Comment