| Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri wa TAMISEMI Innocent Bashungwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga, Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa mara baada ya tukio la Uapisho, Ikulu Jijini Dar es Salam tarehe 01 Agosti, 2022. |
0 Comments:
Post a Comment