Showing posts with label Grace Macha. Show all posts
Showing posts with label Grace Macha. Show all posts
Arusha Vicoba Empowerment imeendesha Mafunzo hayo mapema leo huku lengo ikiwa kuboresha uendeshaji na ukuaji wa Vikundi vya Saccoss kwa ajili ya kujikuza kiujasiriamali na hatimaye lufikia malengo tarajiwa.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo ya Mafunzo kwa viongozi wa vikundi vya Vicoba alikuwa Diwani wa kata ya Kaloleni Mh. Emanuel Messy
Akihutubu katika hafla hiyo Mh. Kessy amesisitiza kuwa kuna umuhimu mkubwa wa Kujiunga katika vikundi vya kiujasiriamali ili kurahisisha kupata mikopo kutoka serikalini au kwenye taasisi zingine.
Pamoja na kuipongeza Kampuni ya Vicoba ya Arusha Vicoba Empowerment Ltd kwa kujilita katika kuleta mabadiliko kwenye shughuli za maendeleo hasa kuinua kipato cha wananchi kupitia Vicoba na kutoa Mafunzo mbalimbali ili kukumbushana majukumu na wajibu wa vikundi vya kiujasiriamali.
Mwenyekiti wa Arusha Vicoba Empowerment Ltd Bw. Hassan Moses Amejikita katika kuwaelimisha wanavikundi kujikumbusha kufahamishana majukumu ya kila mmoja katika vikundi kuanzia majukumu ya vuliongozi kwa nafasi zao.
![]() |
| Grace Macha |
Burudani
Siasa
Jamii
Kimataifa
Breaking News
Jamii
Kumbuka unaweza kubaki kwenye social media zote kwa jina Hili Hili la HABARI Tanzania Grace Macha. Tafuta kurasa zangu mitandaoni kwa jina hill, na ukae ukirelax kwa kuwa updated.
Timu yangu hufanya kazi kubwa ya kuhakikisha saa 24 siku Saba za week haupitwi na chochote......










