..Ajira mpya 3000 za Jeshi Tanzania... Rais Magufuli Leo Akiwatunuku ukamisheni maofisa 422 Wa Jeshi la JWTZ ...


Rais John Magufuli leo Jumamosi amewatunukia kamisheni ya luteni usu kwa maofisa 422 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania(JWTZ), katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Ajira mpya za jeshi 3000 .. Nalipongeza sana jeshi letu kwa moyo wa kizalendo, sifa zake sio hapa tu, mpaka nje ya Tanzania. Nawaonya Maafisa msijiingize katika matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii pamoja na siasa" Gen. Venance Mabeyo. "Hatuwezi ruhusu watu watumie utajiri wetu kwa maslahi yao binafsi"-Rais

0 Comments:

Post a Comment