| Mbunge wa Singida Kaskazini Mh. Lazaro Nyalandu CCM amtembelea Mbunge wa Singida Mashariki CHADEMA Mh.Tundu Lissu jijini Nairobi anakofanyiwa matibabu baada ya kupigwa risasasi na watu wasiojulikana mjini Dodoma. Katika Picha hii kishoto ni Mbunge Peter Msigwa CHADEMA, Na Mbunge wa Arusha mjini Mh.Godbless Lema . |
0 Comments:
Post a Comment