HABARI: FULL-VIDEO, Wanafunzi walemavu wa macho (VIPOFU) Kujengewa vyoo vya kisasa katika shule ya msingi Themi- Arusha

Mfadhili aliyejitolea kujenga vitundu 6 vya choo kwa ajili ya watoto walemavu wa macho yaani vipofu. Bi. Isabella Daniel Mwampamba ambaye pia ni mmiliki wa shule ya English Medium Upendo Friends School.

Shule ya msingi Themi kitengo cha watoto walemavu wa macho yaani Vipofu kimekuwa kikipata changamoto kubwa katika huduma ya vyoo. 

Changamoto hiyo sasa imesuluhishwa na Diwani wa Kata ya Themi Mh. Melance Kinabo kwa kushirikiana na Mfadhili Ambaye ni mmiliki wa Shule ya Upendo Friends Bi. Isabela Daniel Mwampamba
Mratibu wa Elimu Kata ya Themi Mh.Nicodemus Mgonja

Diwani wa Kata ya Themi Mh. Melance Kinabo
Tazama FULL-VIDEO hapa chini...... VOA TV News

0 Comments:

Post a Comment