RC Mwanza Ameagiza TAKUKURU Kuchunguza matumizi ya fedha Shule ya Sekondari Bukongo - Ukerewe

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella amefanya ukaguzi kwenye Shule ya Sekondari Bukongo iliyopo Wilaya ya Ukerewe na kuiagiza TAKUKURU Kuchunguza matumizi ya fedha shuleni hapo baada ya kutoridhishwa na utendaji wa shule.

0 Comments:

Post a Comment