ZITTO APELEKWA DODOMA CHINI YA ULINZI


Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe amesafirishwa na polisi usiku huu (saa kumi) kutoka kituo cha polisi cha Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es salaam kwenda Dodoma.
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Chama inafuatilia kwa umakini hatua kwa hatua kuhakikisha Usalama wake. Tunawataka wanachama na wananchi kuendelea kuwa watulivu.
Imetolewa usiku wa kuamkia tarehe 21 Septemba 2017
Mohamed Babu, Mwenyekiti, Kamati ya Ulinzi na Usalama.

0 Comments:

Post a Comment