LIVE LEMA NA NASARI WAKIONYESHA USHAHIDI VIONGOZI WA SERIKALI KUWANUNUA MADIWANI WA CHADEMA

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari wanaongea na waandishi wa habari na kuonyesha ushahidi wao waliouhifadhi kwenye flash.

Wakimaliza wanaelekea jijini Dar es salaam kimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini, (TAKUKURU), Kamishna wa Polisi, Valentino Mlowola 

0 Comments:

Post a Comment